SOKA NEWS AND VIDEOS
SOKA VIDEOS
Manchester City 0-2 Crystal Palace
Manchester City imefungwa 2-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mechi ya ligi ya kuu England
Leicester City 0-2 Arsenal
Arsenal inaendelea kufanya vizuri baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Leicester City
Tottenham 0-3 Manchester United
Manchester United imepata matokeo ya 3-0 dhidi ya Tottenham kwenye mechi ya ligi kuu soka nchini England
Leicester City 0-1 Manchester City
Manchester City imeshinda 1-0 dhidi ya Leicester City kwenye mechi ya ligi kuu soka nchini England
SOKA NEWS.

Tetesi za soka Ulaya
Mpango wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Mathys Tel watibukaSoma Zaidi [+]
4 days ago
Danso atua Tottenham
Tottenham wamemsajili mlinzi wa Lens Kevin Danso kwa mkopo na dhamira ya kumnunuaSoma Zaidi [+]
4 days ago
Martinez kutua Arsenal
Arsenal wako tayari kuvunja rekodi yao ya uhamisho msimu wa kiangazi kwa dau la £100mSoma Zaidi [+]
4 days ago
Dragusin kukosa msimu uliobakia
Beki wa Tottenham Hotspurs, Radu Dragusin anakaribia kukosa msimu uliosalia baadaSoma Zaidi [+]
4 days ago
Lemina atua Galatasaray
Galatasaray imemsajili kiungo wa Wolves Mario Lemina kwa mkataba wa £2m (euro 2.5m)Soma Zaidi [+]
4 days ago
Felix apiga goli mechi yake ya kwanza
Joao Felix alifunga katika mechi yake ya kwanza ya AC Milan naye Tammy AbrahamSoma Zaidi [+]
07/02/2025
Newcastle United watinga fainali Carabao Cup
Newcastle United wametinga fainali ya Kombe la Carabao baada ya kuwafunga Arsenal 2-0.Soma Zaidi [+]
06/02/2025
Brighton wakataa kumuuza Mitoma
Brighton wamekataa ofa muhimu kutoka kwa klabu ya Saudi Pro-League Al-Nassr kwaSoma Zaidi [+]
05/02/2025
Tetesi za soka Ulaya
Manchester United huenda ikamnunua mshambuliaji wa Chelsea na UfaransaSoma Zaidi [+]
05/02/2025
Veiga atua Juventus kwa mkopo
Beki wa Chelsea Renato Veiga amejiunga na Juventus kwa mkopo kwa muda woteSoma Zaidi [+]
05/02/2025SOKA PICTURES

RB Leipzig wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la Ujerumani

Real Madrid wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa La Liga

Manchester City wakishangilia ubingwa wao wa EPL

AC Milan wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Seria A

Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandolski akishangilia moja ya goli lake