SOKA NEWS AND VIDEOS
SOKA VIDEOS
Sheffield United 2-3 Manchester United
Manchester United imeshinda 3-2 dhidi ya Shelfied United kwenye mechi ya ligi England
Crystal Palace 2-0 Shelfield United
Crystal Palace imeshinda 2-0 dhidi ya Shelfield United kwenye ligi kuu England
SOKA NEWS

Bruno mchezaji bora Disemba EPL
Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Soma Zaidi [+]
1 day ago
Pogba ataka kuwafunga Liverpool
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amesema kuwa hawapo hatua moja na wapinzaniSoma Zaidi [+]
1 day ago
Samatta arejea uwanjani
Mshambuliaji wa Fenerbahce ya Uturuki, Mbwana Samatta amerejea rasmi Uwanjani baada Soma Zaidi [+]
1 day ago
Liverpool kuikaribisha Manchester United
Klabu ya Liverpool wikiendi hii itashika dimbani Anfield kuikaribisha Manchester United katika Soma Zaidi [+]
1 day ago
Dembele atua Atletico Madrid
Atletico Madrid imemsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Ufaransa, Moussa Dembele kutoka Soma Zaidi [+]
1 day ago
Arsenal yabanwa na Crystal Palace
Klabu ya Arsenal imeshindwa kupata alama tatu baada ya kutoka 0-0 dhidi ya Crystal PalaceSoma Zaidi [+]
1 day ago
Rashford amwagia sifa Mourinho
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amesema kuwa menejaSoma Zaidi [+]
1 day ago
Bilbao yatinga fainali ya Super Cup
Klabu ya Athletic Bilbao watacheza fainali ya Super Cup dhidi ya Barcelona baada ya kuwafunga Soma Zaidi [+]
1 day ago
Morrison kukaa nje miezi sita
Kiungo wa Simba, Bernard Morrison atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sitaSoma Zaidi [+]
1 day ago
Ighalo kuhamia Marekani
Mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo, 31, anafikiria kuhamia katika ligi ya Marekani Soma Zaidi [+]
1 day agoSOKA PICTURES

Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo

Kiungo wa Liverpool, Georginio wijnaldum akipiga shuti kwenye mechi dhidi ya Southampton

Kocha wa PSG, Mauricio Pochettino akiwa mazoezini na wachezaji wake

Kocha wa Chelsea, Frank Lampard akisalimiana na mchezaji wa Man City, Kevin De Bruyne

Wachezaji wa Real Sociadad wakishangilia moja ya goli lao