15 Nov 2019 / 112 views
Hawa ndiyo wafungaji bora wa muda wote

Wafungaji bora wa muda katika timu za taifa mpaka kufikia sasa. Cristiano anahitaji magoli 12 ili kuifiki rekodi ya Ali Daei wa Iran ambaye ndio mfungaji bora wa jumla wa timu za taifa.

1. Cristiano Ronaldo (Portugal)
Mechi: 163 Magoli: 98.

2. Pele (Brazil)
Mechi: 92 Mechi: 77 .

3. Miroslav Klose (Germany)
Mechi: 137 Magoli: 71

4. Lionel Messi (Argentina)
Mechi: 136 Magoli: 68 .

5. Zlatan Ibrahimovic (Sweden)
Mechi: 116 Magoli: 62 .

6. David Villa (Spain)
Mechi: 98 Magoli: 59 .

7. Wayne Rooney (England)
Mechi: 120 Magoli: 53 .

8. Romelu Lukaku (Belgium)
Mechi: 83 Magoli: 51.

9. Thierry Henry (France)
Mechi: 123 Magoli: 51.

10. Robin van Persie (Holland)
Mechi: 102 Magoli: 50.