12 Jun 2019 / 47 views
Kikosi cha Cameroon Afcon

Kocha wa timu ya taifa ya Cameroon,  Clarence Seedorf ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki kombe la mataifa ya Afrika yatakayoanza Juni 21 hadi Julai 19 mwaka huu.

Cameroon kwenye michuano hiyo ipo kundi F pamoja na timu za Benin, Guinea-Bissau na Ghana ambapo mechi kali inayotazamwa ni kati yao na Ghana.

Magolikipa: Andre Onana (Ajax Amsterdam, Netherlands), Fabrice Ondoa (Oostende, Belgium), Carlos Kameni (Fenerbahce, Turkey).

Mabeki: Collins Fai (Standard Liege, Belgium), Michael Ngadeu-Ngadjui (Slavia Prague, Czech Republic), Ambroise Oyongo Bitolo (Montpellier, France), Yaya Banana (Panionios, Greece), Gaetan Bong (Brighton, England), Jean Armel Kana-Biyik (Kayserispor, Turkey), Dawa Tchakonte (Mariupol, Ukraine)

Viungo: Andre-Frank Zambo Anguissa (Fulham, England), Georges Mandjeck (Maccabi Haifa, Israel), Pierre Kunde Malong (Mainz, Germany), Arnaud Djoum (Hearts, Scotland), Wilfrid Kaptoum (Betis Sevilla, Spain)

Washambuliaji: Stephane Bahoken (Angers, France), Eric-Maxim Choupo-Moting (PSG, France), Karl Toko Ekambi (Villareal, Spain), Jacques Zoua (Astra, Romania), Clinton Njie (Marseille, France), Christian Bassogog (Henan, China), Joel Tagueu (Maritimo, Portugal), Olivier Boumal (Panionos, Greece).