Kikosi cha Tunisia Afcon
Kocha wa Tunisia, Alain Giresse ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakachoshiriki michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Afcon nchini Misri kuanzia Juni 21 hadi Julai 19 mwaka huu.
Tunisia wamepangwa kwenye kundi E pamoja na timu za Angola, Mauritania na Mali kwenye michuano hiyo ya mataifa ya Afrika.
Kikosi kamili cha Tunisia
Magolikipa: Farouk Ben Mustapha (Al Shabab), Mouez Hassen (OGC Nice), Mouez Ben Chrifia.
Mabeki: Mohamed Drager (SC Paderborn), Rami Bedoui (Al Feiha), Yassine Meriah (Olympiakos), Dylan Bronn (The Gantoise), Oussama Haddadi (Ettifaq), Karim Aouadi (ES Sahel), Nassim Hnid (CS Sfaxien), Wajdi Kechrida (ES Sahel), Ayman Ben Mohamed (ES Tunis)
Viungo: Ellyes Skhiri (HSCMontpellier), Ferjani Sassi (Zamalek SC), Naïm Sliti (Dijon), Bassem Srarfi (OGC Nice), Ghaylen Chaalali (ES Tunis), Mark Lamti (Bayer Leverkusen), Youssef Msakni (KAS Eupen)
Washambuliaji: Wahbi Khazri (Saint-Etienne, Anice Badri (ES Tunis), Firas Chaouat (CS Sfaxien), Yassine Khenissi (ES Tunis).